Utapeli msidanganyike,ajuaye ni dogo alilizwa lak5 et napelekwa huko,Laki saba imhamishe mtu nchini?alafu tena unalipia..mnataka kuleta utapeli nyinyi
Kama kichwa kinavyosoma hapo, kuna nafasi za udereva kwa wahitaji nchini Saudia Aabia, gari ndogo na malori,
Kwanza uwe na leseni ya hapa nchini, passport kubwa, na kuna malipo unalipia,
Mkataba miaka 2, free insurance +chakula+ kulala
Mshahara ni malori laki 7 na nusu + trip allowance light car laki 5.5 without trip allowance
Vyuma vimekaza anaejiweza mcheki kwa whataap huyu bwana +255715432626 nimewasilisha