Nafasi za masomo ya Pre – form one

Nafasi za masomo ya Pre – form one

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
773
Reaction score
668
Uongozi wa (T.A.C) unawatangazia wazazi wote kuwaleta watoto wao waliomaliza darasa la saba ili kuwapatia mafunzo yatakayowaandaa kuanza elimu ya sekondari. Masomo ni miezi mitatu na yataanza mwezi huu wa tisa.

Pia wanafunzi watapata ofa ya kusoma ‘English course’ na Compyuta bure.

Tupo Kinondoni Mwananyamala.

Jinsi ya kufika shuleni wasiliana nasi kwa namba;

Simu & sms & Watsapp 0754 895 321

Simu pekee 0653 250 566
 
Back
Top Bottom