Nafasi za mafunzo ccp | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za mafunzo ccp

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ZIMBOO, Oct 7, 2012.

 1. Z

  ZIMBOO Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makamanda vp kuhusu majina ya graduates kwenda ccp moshi
   
 2. kikaragosi

  kikaragosi Senior Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Usijali bado nw wanaenda madogo wa secondary
   
 3. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mbona majina yametoka ya graduates waliofanikiwa kufuzu interview
   
 4. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,042
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Mmecheza chuoni mmetoka na results za ajabu mnakimbilia kazi za ajabu ajabu!
  Nendeni mkajifunze kuuwa ila mkirudi tutawauwa nyinyi!
   
 5. M

  Mzanzibar Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  acha dharau ndugu,inamaana polisi ni kazi ya ajabu,kwanza inaonekana umesoma chuo cha kata
   
 6. M

  Majebele91 New Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajira ngumu kitaa hata kama una first class alyepata ccp best wishes
   
 7. M

  Mzanzibar Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wewe ndiye msemakweli siyo huyo anayedharau kazi za polisi
   
 8. h

  happy amos Senior Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  mbona wameanza kulipot tangu tarehe 6/10
   
 9. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,156
  Likes Received: 908
  Trophy Points: 280
  Vijana komaeni huko. Kitaa ni nouma. Hivi kunawatu hadi leo wanadhania mtu akienda polisi au jeshi GPA yake ni mbovu.
   
 10. C

  Cognitivist JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 975
  Trophy Points: 180
   
 11. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,226
  Trophy Points: 280
  Magraduate tushaitwa siku nyiiiingi. pole.
   
 12. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nendeni mkafundishwe kupambana na chadema na kuua watu.
  Kazi gani ambayo unafuata amri huwezi kuhoji.
  Wakishasema piga we unapiga tu,kazi ambayo haina busara na hekima katika kufanya maamuzi its so hard.
  Police wengi wenye vyeo vikubwa kwa sasa ni form four felia na wengne walifoji vyeti ndio maana unaona impact zinazotoke.sasa hapo ndo napopata ugumu wewe graduate ambaye bosi wako ni form four felia au alifoji cheti anakufanya gari la mkaa.
   
Loading...