Unajua maana ya placenta?? Kazi yake je?? Placenta irudishwe wapi baada ya kujifungua?? Ila all in all unamaono mazuri lkn angalia hali ya maendeleo tuliofikia km nchi ndo uanze kusema inshu zako za kusadikika ktk nchi ya giza.Diploma kwenye afya ni watu wa kufunga vidonda na kuosha vidoda na usaa. Ulimwenguni kote hiyo taaluma haipo iko Tanzania tu.
Na kwa kukusaidia hii ilianzisha na Mwl ili kukabiliana na upungufu wa madaktari au wahudumu wa afya ndio ikawejwa hyo ya diploma ila kiuhalisia tunatakiwa kua na daktari kuanzia kwenye zahanati.
Hospitali kubwa za mikoa na rufaa wawepo specialists tu. Wamama wengi wanakufa kwa kujifungua huko kwenye zahanati kwa sbabu ya uwepo wa hao wenye diploma, mtu anajifungua placenta inapasuka huyo clinical officer anashindwa kuirejesha mtu anafariki.
Jeshini wako sahihi kabisa. Hii ngazi ya diploma na cheti kwenye afya ingeondolewa kabisa.