chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,490
- 2,574
Vp upo twalipo ??au umepotezea?Hapo kwa coz Kama MD ni miaka mitano plus one yr internship so weng tupo 29+...
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp upo twalipo ??au umepotezea?Hapo kwa coz Kama MD ni miaka mitano plus one yr internship so weng tupo 29+...
Kwani wewe umepotezea?
soma vizuri uluchokiandika hapaWapo wengi sana mimi niko na mdogo kamaliza MD na intern yuko na miaka 26 so wapo sema ni wachache
We jamaa akili zakp bhn....unasema wapo weng wakati huohuo unasema wako wachache....nmechekaWapo wengi sana mimi niko na mdogo kamaliza MD na intern yuko na miaka 26 so wapo sema ni wachache
Hao ni professionals na wanaenda kama mahitaji maalum so ni pre cadet miezi michache pale 832 then hao TMA
Makamanda, Serikali ikiajiri madaktari,nawaombeni nafasi ya daktari atakayekuwa amekimbia depo la jeshi (au jeshi kwa ujumla) ili nikafanye mazoezi matukufu ya kijeshi ili niwe mwanajeshi nikailinde na kuitumikia nchi yetu hii kwa kila namna, na wajeshi walioko huko.
Siyo nafasi ipotee bure wakati ninaililia kila Sikh siipati ! Ikitokea NAIWAOMBENI NIKAFANYE MAZOEZI YA KIJESHI NIWE MJESHI.
Dogo huku hawahitajiki vilaza!Makamanda, Serikali ikiajiri madaktari,nawaombeni nafasi ya daktari atakayekuwa amekimbia depo la jeshi (au jeshi kwa ujumla) ili nikafanye mazoezi matukufu ya kijeshi ili niwe mwanajeshi nikailinde na kuitumikia nchi yetu hii kwa kila namna, na wajeshi walioko huko.
Aaaah, sawa kaka.Dogo huku hawahitajiki vilaza!
We jamaa nikuambie tuu umeongea utumbo sana, diploma ya udaktari ni kuosha vidonda?Diploma kwenye afya ni watu wa kufunga vidonda na kuosha vidoda na usaa. Ulimwenguni kote hiyo taaluma haipo iko Tanzania tu.
Na kwa kukusaidia hii ilianzisha na Mwl ili kukabiliana na upungufu wa madaktari au wahudumu wa afya ndio ikawejwa hyo ya diploma ila kiuhalisia tunatakiwa kua na daktari kuanzia kwenye zahanati.
Hospitali kubwa za mikoa na rufaa wawepo specialists tu. Wamama wengi wanakufa kwa kujifungua huko kwenye zahanati kwa sbabu ya uwepo wa hao wenye diploma, mtu anajifungua placenta inapasuka huyo clinical officer anashindwa kuirejesha mtu anafariki.
Jeshini wako sahihi kabisa. Hii ngazi ya diploma na cheti kwenye afya ingeondolewa kabisa.
Placenta ikipasuka matibabu yake ndio kuirudisha ndani? Utakuwa mganga wa kienywji wewe.Diploma kwenye afya ni watu wa kufunga vidonda na kuosha vidoda na usaa. Ulimwenguni kote hiyo taaluma haipo iko Tanzania tu.
Na kwa kukusaidia hii ilianzisha na Mwl ili kukabiliana na upungufu wa madaktari au wahudumu wa afya ndio ikawejwa hyo ya diploma ila kiuhalisia tunatakiwa kua na daktari kuanzia kwenye zahanati.
Hospitali kubwa za mikoa na rufaa wawepo specialists tu. Wamama wengi wanakufa kwa kujifungua huko kwenye zahanati kwa sbabu ya uwepo wa hao wenye diploma, mtu anajifungua placenta inapasuka huyo clinical officer anashindwa kuirejesha mtu anafariki.
Jeshini wako sahihi kabisa. Hii ngazi ya diploma na cheti kwenye afya ingeondolewa kabisa.
Hivi unaelewa hata iyo placenta ni nini? Wewe ni tahira😁😁😁mtu anajifungua placenta inapasuka huyo clinical officer anashindwa kuirejesha mtu anafariki.