lux
Member
- Sep 16, 2013
- 27
- 23
wakuu kunatangazo nimeliona kuhusu kujiunga na mafunzo ya JKT kwa mwaka 2016 kati ya march na april. lakini nimeuliza wilayani wanasema si la kweli. naomba kujuzwa ukweli juu ya hili tangazo
==============
Updates;
Hizi habari zimekanushwa kwenye hii thread=>JKT inakanusha tangazo la kazi lililobandikwa hapa JamiiForums
==============
Updates;
Hizi habari zimekanushwa kwenye hii thread=>JKT inakanusha tangazo la kazi lililobandikwa hapa JamiiForums