NAFASI ZA KUJITOLEA NA SOKO LA AJIRA

TRANSPONDER

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
399
988
Habari Great thinkers, bila kupoteza Muda naomba niende moja kwa moja kwenye point husika , kama kichwa cha habari kinavyosema, kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wakigombea daladala Mijini kuwahi kazi ambazo hawalipwi chochote na wala hawaajiriwi kwa baadae , zaidi ni kupoteza muda na kuhamia kwenye boda boda baada ya muda mchache, naomba Leo tufunguke tuwaelemishe namna gani wanaweza kutafuta nafasi za kujitolea kwa ustadi zaidi na namna gani ya kufanya ili waweze kuajirika.

Binafsi nawakaribisha songea , huku tupo vijana wa mission town tukishika noti , Kheri kulima kuliko kufanya kazi bure.

Kijana lima, beba zege n.k kuliko kupigwa jua miaka kadhaa na kurudi pale pale
 
Back
Top Bottom