ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 365
Acheni wizi kumfanya maskini kama mgongo wa kujitajilisha watanzania stukeni mapema maendeleo yako yanayetwa na wewe mwenyewe kama umesoma mpaka ukapata degree utashindwa nini kukomaa kutoka hata kama utakaa kitaa muda mwingi zindukaa TZ ni wewe ndio mwenye mamlaka na maisha yako sio taasisi wala GV