Nafasi za kujitolea katika makampuni mbalimbali

Nafasi za kujitolea katika makampuni mbalimbali

Eunda

Member
Joined
May 2, 2008
Posts
60
Reaction score
11
IMED tumeanzisha BRIDGE Program kuwapatia vijana waliomaliza vyuo ngazi zote fursa kufanya kazi kwa miezi 6 sehemu mbalimbali kwa kujitolea kujenga uzoefu na kuonyesha umahiri wao. Pia watapata mafunzo kuwawezesha kuthaminiwa zaidi na waaajiri au kujiajiri. Chukua tangazo na fomu kuomba kujiunga katika website yetu. Karibu Institute of Management and Entrepreneurship Development.

Kwa maelezo zaidi piga simu tajwa 0758460508.
 
Naomba nijiue mwisho wa kupokea maombi lini? Samahan lakin
 
harufu ya kuwanyonya maskini inanukiaaaa,,,, period

Ni mtazamo wako, kwa mwenye nafasi ni kitu kizuri na kinakuongezea maarifa ya career.Ilifikia kipindi nilikuwa najitolea sehemu mbili tofauti na ilinisaidia sana kupata connection kiasi ambacho hazijafutika na kila deal ikifika mezani pangu najua nimpigie nani wa kunisaidia katika deal husika kama nahitaji msaada.

Nipo kibaruani na bado ninajitolea mahali flani bure lakini kipo ninachopata kipya na connection kama kawaida hata leo nilifika Ofisini kwangu nikakutana na Mzee ambaye anaendelea kunipa kazi zake nimfanyie lakini napata ujuzi mpya.

Nishafika Coca-cola Distr. Branch na nawasikilizia waniite nikajitolee tu lengo ni ......
Lakini nafanya haya kwa sababu nina nafasi na namshukuru Mungu.
 
Bora nife njaa kuliko....

...Kijana hauko sahihi hata kidogo.wewe unatafuta kazi hata fursa ya kukutana na watu wapya unaikataa?kweli haya ni maajabu ya dunia!mimi nina kazi sasa iliyotokana na kujitolea kwanza.
 
tatzo hzo gharama, kwa wahitimu ni janga tupu. bum likikatka walikua wanalia sasa hzo garama za hyo project wanaziweza?
 
Kweli maskini ataendelea kubaki maskini kama ndo hivi kila kitu tulipie. Kiasi tu cha kuongezea chuo kilikuwa tatizo sasa leo mtu huna source yoyote ya capital unaanzaje kulipia hizi project, kama ndo hivi tutakaoendelea kukaa nyumbani ni wengi kwa kweli.
 
Mtz huru napita zangu mie . Maana mjin kuna majembe syo yakulimia lami
 
Back
Top Bottom