Nafasi za kujitolea JKT

Nafasi za kujitolea JKT

MUJO

Member
Joined
May 18, 2014
Posts
59
Reaction score
4
Habari zenu wadau... Samahan naomba kujuzwa kwa mwenye info yyte kuhusu nafasi za jkt kujiunga kujitolea kwa mwaka 2014/2015 naomba anijulishe... natanguliza shukran!
 
Mbona haya masuala yameshaongelewa sana humu na kutolewa ufafanuzi mzuri tu. Jaribu tafuta threads zilizopita mkuu utapata info zote kuhusu jkt.
 
Pumbaaaaaavuuuuuuuuuuu!!!
Acha ujinga wewe,hebu rekebisha title yako hapo juu,nishapoteza muda sana kitaa sasa usinifanye niendelee kupoteza muda kufungua thread yako nikidhan tangazo la ajira kumbe unaleta maswali hapa.Link kibao zimeshajieleza.
 
heading mnashindwa kuziweka sawa sawa zikaeleweka kabla hujafungua thread
 
Habari ndugu Mujo na wengine wote mnaofatila nafasi za jkt na jwtz pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama! Utakapo itaji taarifa za uandikishwaji wa vijana wa kujitolea nakushauli utembelee mala kwa mala website ya chombo husika maana hapa jf na mitandao mingine ya kijamii utakutana na majibu ya kukuchanganya maana kila mmoja atakuja na lake. Nazungumza hivi kwa kuwa nina uzoefu na majibu ya miaka iliyopita yaliyojibiwa na wachangiaji mbalimbali kwa watu waliotaka kujua juu ya nafasi za vyombo husika hususani jkt. Kwa nijuavyo mimi ni kwamba kila mwaka huwa wanachukua mala moja na nafasi hutangazwa mwezi wa 12 na mafunzo huanza mwezi wa tatu, lakini kwa maelezo haya yasiwe ni jibu kamili kwako bali jibu kamili utalipata kwa wahusika (jkt) kwa kutumia website yao (www.jkt.go.tz) bila kificho maana nafasi hizi ni kwa vijana wote raia wa Tanzania. Asanteni!!
 
Habari ndugu Mujo na wengine wote mnaofatila nafasi za jkt na jwtz pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama! Utakapo itaji taarifa za uandikishwaji wa vijana wa kujitolea nakushauli utembelee mala kwa mala website ya chombo husika maana hapa jf na mitandao mingine ya kijamii utakutana na majibu ya kukuchanganya maana kila mmoja atakuja na lake. Nazungumza hivi kwa kuwa nina uzoefu na majibu ya miaka iliyopita yaliyojibiwa na wachangiaji mbalimbali kwa watu waliotaka kujua juu ya nafasi za vyombo husika hususani jkt. Kwa nijuavyo mimi ni kwamba kila mwaka huwa wanachukua mala moja na nafasi hutangazwa mwezi wa 12 na mafunzo huanza mwezi wa tatu, lakini kwa maelezo haya yasiwe ni jibu kamili kwako bali jibu kamili utalipata kwa wahusika (jkt) kwa kutumia website yao (Jeshi la Kujenga Taifa) bila kificho maana nafasi hizi ni kwa vijana wote raia wa Tanzania. Asanteni!!

Uko smart sana broo Adimu umemjibu vizuri sana ila kama nataka UWT ajue hawana website hivyo asihangaike kusearch bali website zipo za jkt na jwtz basiii (tpdf)
 
Uko smart sana broo Adimu umemjibu vizuri sana ila kama nataka UWT ajue hawana website hivyo asihangaike kusearch bali website zipo za jkt na jwtz basiii (tpdf)

Sija hakika kwa hao UWT labda nifanye uchunguzi.
 
Habari zenu wadau... Samahan naomba kujuzwa kwa mwenye info yyte kuhusu nafasi za jkt kujiunga kujitolea kwa mwaka 2014/2015 naomba anijulishe... natanguliza shukran!
kabla hujaandika title yakoo goolge kwanza zitakuja link za habari zinazo husu hicho unachokitaka na hasa kama kimewahi postiwa ha jf, ukikosa ndipo ulete swali lakoo unatupottezea muda wengine na hasa heading yako. TUOMBE RADHI KWA USUMBUFU TULIOUPA!
 
intelligence hiyo kazi yao ni kuchunguza... unadhani utaweza kuwachunguza?

hahahahahaa mmh na sina mpango wa kuwachunguza kwakua haiwezekan kuwachunguza na kwa nn niwachunguze sasa kiongoz nikikua nampa taarifa tu kua TISS hawana website mkuu na sivinginevyoo
 
Back
Top Bottom