Nafasi za kujitolea JKT 2016 bado?

Nafasi za kujitolea JKT 2016 bado?

rojazy

Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Msaada jamani JKT nafasi za kujitolea 2016,utumaji wa maombi umeanza?
 
Inabidi tuwe wapole tuangalie watatoa lini

Mm mwenyewe nasubiria
 
Zikitoka nafasi tangazo litabandikwa kwenye ofisi za wakuu wa Wilaya wote Tanzania! Epukeni matapeli
 
Back
Top Bottom