R rojazy Member Oct 27, 2014 5 1 Mar 29, 2016 #1 Msaada jamani JKT nafasi za kujitolea 2016,utumaji wa maombi umeanza?
Jitu jeusi JF-Expert Member Oct 18, 2015 1,709 2,373 Mar 29, 2016 #2 Inabidi tuwe wapole tuangalie watatoa lini Mm mwenyewe nasubiria
Ing'ang'a JF-Expert Member Dec 30, 2015 1,866 1,282 Mar 29, 2016 #3 Jitu jeusi said: Inabidi tuwe wapole tuangalie watatoa lini Mm mwenyewe nasubiria Click to expand... Sio Leo wala kesho lkn.
Jitu jeusi said: Inabidi tuwe wapole tuangalie watatoa lini Mm mwenyewe nasubiria Click to expand... Sio Leo wala kesho lkn.
M MZEE RAZA JF-Expert Member Feb 19, 2015 3,457 2,440 Mar 29, 2016 #4 Zikitoka nafasi tangazo litabandikwa kwenye ofisi za wakuu wa Wilaya wote Tanzania! Epukeni matapeli
ellybululla Senior Member Jan 30, 2013 105 83 Mar 30, 2016 #5 Mwezi wa tano subilia form six wamalize mitihan