Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,700
Reaction score
9,070
Habarini za asubuhi, kwa wale ambao wana uhitaji wa kazi au internship waliopo dar es salaam waliosomea economocs, finance, accountancy, engineering, law na statistics, waliopata GPA kwanzia 3.5 kupanda juu kesho asubuhi wafike ofisi za TAESA( Tanzania Employment Services Agency)iliyopo chini ya wizara ya kazi ajira jinsia watoto na walemavu, waende na vyeti vyao original na copy ya vyeti vyao ambavyo ni cheti cha chuo, transcript, cheti cha form six, cheti cha form four na kama una vyeti vingine vyovyote vya taaluma pamoja na driving licence kwa aliyenayo. Pia watafanyiwa registrationni na interview. Kwa atakayepita interview internship au kazi ni uhakika kupata. Unaweza ukashare na magroup mengine.Asanteni
 
Hiyo TAESA iko maeneo gani mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom