Nafasi za kazi Zanzibar

Ngunya1

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
406
642
Kuna mdogo wangu anataka kwenda kuweka kambi Zanzibar ya mwezi mmoja atafute kazi kwenye mahotel au makampuni binafsi.

Msaada;
1.Vipi gharama za guest ukiwa huko maana hana mwenyeji
2.Upatikanaji wa kazi upoje na masilahi au ni kama bara

Karibuni kwa msaada wa mawazo
 
Namshauri bora atafute mwenyeji kwanza au atafute hotel inayotoa huduma ya makazi kwa wafanyakazi. Ni vizur akitafuta mtu wa kumuunganisha nae amtafutie sehem. akitegemea mwenyew atasumbuka mno.
Asiende kichwa kichwa kama hana mtu hata kupata chumba zenji kazi hasa ukiwa mktisto
 
asante sana mkuu
 
Zanzibar kugumu sana ndugu kama huna mwenyeji pia mishahara ya huko sijui kama wameshajirekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshauri bora atafute mwenyeji kwanza au atafute hotel inayotoa huduma ya makazi kwa wafanyakazi. Ni vizur akitafuta mtu wa kumuunganisha nae amtafutie sehem. akitegemea mwenyew atasumbuka mno.
Asiende kichwa kichwa kama hana mtu hata kupata chumba zenji kazi hasa ukiwa mktisto
Hili ni kweli ila kidogo kidogo siku hizi mentality inabadilika. Hata wakristo wanapata vyumba ila masharti na ukiwa unaingiza wanawake/wanaume mara kwa mara landloard mara anakutoa hata kama una mkataba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom