Ajira yenyewe ya tempolary,,du magufuli heshima yakonaona serikali kurudisha ajira
ni friday labda wamekoseaHakuna Jumanne ya tarehe 26/08/2016
hahahahaha kazi ipoAisee....kuna mtu aliniomba nimpelekee, yeye yuko Mwanza... Aiseee....nyomi ya watu balaa.... Halafu sasa, mnapeleka kwa foleni
Ofisi zao zipo kibaha sehemu gani?
Jiongezeni nimeipendaa hiimpwa umemaliza MPAKA doiyamwishoHakuna Jumanne ya tarehe 26/08/2016
Tanita kituo ndo kinavo itwaOfisi zao zipo kibaha sehemu gani?
Duuuh ngoja tujaribu Bahati zetuChangamkieni ajira izo vijana