Nafasi za Kazi: Walimu

Nafasi za Kazi: Walimu

Sphory

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
34
Reaction score
7
KAc secondary school iliopo Arusha inatangaza nafasi za Walimu katika Michepuo ya Sayansi,Arts na BiasharaSifa za mwombaji Asiwe form six leaver. Maombi yatumwe kwa kutumia E-mail ya shule kac@kisongocollege.comAu sanduku la posta P.O.Box 16181 Arusha-Tanzania
 
Toa namba za cm kazi za walimu nyingi kila kona kuna secondary. walimu siku hizi hawatumi maombi kwa email maana kazi zao nje nje tena ukiwa na diploma au degree ya Bsc Education ya science.
 
Kwa Maelezo zaidi nicheck kwa namba 0764070703
 
Tumekusoma mkuu,tegemea kupokea cv yangu ila ucnitose
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom