Nafasi za kazi walimu wa nursery na primary

baraka wanna

Member
Sep 8, 2014
25
1
JulliePaul academy inatangaza nafasi za kazi za walimu kwa nursery na primary. sifa awe na uzoefu wa miaka 5 ya kufundisha nursery au primary. shule inatoa benefit mbalimbali na mishara hupatikana kwa wakati. kwamawasiliano 0715377167/ 0754692414
 
Mi nahitaji kufanya kama temporally teaching tu,hadi mwakan mwez wa nne,
Kama inawezekana nipm,mawasiliano 0716 639 220
 
Back
Top Bottom