Nafasi za kazi VETA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi VETA

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by COMPLICATOR2011, Oct 16, 2011.

 1. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Kuna thread ilikuwemo humu ya nafasi za kazi VETA, hlf baadae nikasikia kuna nafasi tena za kufundisha zilitangazwa VETA Mtwara na Lindi hizi sikuziona, naomba kama kuna mwenye details atuletee ili tuaply na kama zile za mwanzo walishaita watu kwenye interview. Hawa jamaa nasikia wanalipa vizuri ila ni ngumu kupata kazi zao.
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Yaa web yao hii hapa u-turn.co.tz
   
 3. jipitishe

  jipitishe Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u-turn? get serious mopaozi......
   
 4. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nafasi za mwanzo walishaita Jumatano ndo interview.Kupata kazi VETA ni rahisi hawabagui tena entry qualification kwa walimu ndo ndogo sana form IV,trade test grade I na cheti cha ualimu.Mshahara kwa sifa kama hizi unaanzia 560,000 pamoja na housinga allowance ya 15%.Marupu rupu kwa walimu yapo sana,semina kwa wingi hasa zinafanyikia kwenye chuo cha Morogoro na hata safari za nje zipo sana kwa walimu hasa Canada na Korea kwa kuwa ndo wafadhili wao wakubwa.Rate za perdiem kwa anayeanza kwa ngazi ya ualimu ni sh 60,000 kwa siku na ukienda nje ya nchi ni sh 540,000 kwa siku.Kwa ajira mpya unalipwa pesa ya kusafirisha mizigo kwa rate ya sh 500 kwa km na perdiems za siku 14.Kwa hiyo sio mahali pabaya kwa wenye fani ya ualimu
   
 5. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Dah! Mkuu umenipa full information, vp uko VETA nini? Vp kuhusu hizi za kanda ya Mtwara?
   
 6. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Asante sana mkuu, vp hizi za kanda ya Mtwara vp?
   
 7. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Asante sana mkuu, vp hizi za kanda ya Mtwara vp?
   
 8. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Dah! Mkuu umenipa full information, vp uko VETA nini? Vp kuhusu hizi za kanda ya Mtwara?
   
 9. p

  priscilla Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na arusha hawaajiri?na ni fani ya walimu tu hawachukui watu wenye professional nyingine?tujuze
   
 10. R

  Rooselvet New Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo sawa kabisa wadau. Sasa naomba nami mnisaidie tangu nimejiunga humu JF bado nashidwa kuweka full details kama zenu nisaidieni ili hata kama napost kitu kwa lengo la kujuzana ziwe zinaonekana. Asanteni
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Poa mkuu.
   
 12. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  veta wanaajiri kila proffessional, kuna accauntant, suppliers, madereva, masekretary,hr's, nk
   
 13. B

  Baba Dia Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah kaka naomba uniju9e hawa VETA majina wametoa kwenye gazet lipi na la lini?
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Na usaili unaendelea.
   
 15. B

  Baba Dia Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka hlo ni swali au? Mi nasubiri jibu kuhusu gazet lenye majina ya interview ya Veta, niliomba
   
 16. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi natafuta kazi ya ualimu huko veta lakini kwa Mwanza
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Du no wonder jamaa yangu ameng'ng'ania veta kama vile aliapizwa na baba yake afie hapo
   
Loading...