Nafasi za Kazi Utumishi

Nafasi za Kazi Utumishi

Ingia kwenye website ya utumishi huwa wanatoa tangazo moja kwa kiingereza la pili kwa kiswahili. Nadhani hilo la kiingereza litakupa jibu la swali lako

La kiingereza halipo mpendwa...
 
Kwenye gazeti hawajatoa hilo tangazo?
Sina access nzuri na internet kwa sasa Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa una uhakika??? Umedownload ukaona nafasi zilizopo kwenye hili la kiswahili ndo hizohizo zipo kwenye hilo la kizungu?

pengine labda sijalipa vyema swali lako,ww uliuliza kuwa hlo tangazo la kizungu mbona halipo ,nikakujibu mbona mpendwa lipo tu,lipo la kiswahili na kizungu mpendwa
 
pengine labda sijalipa vyema swali lako,ww uliuliza kuwa hlo tangazo la kizungu mbona halipo ,nikakujibu mbona mpendwa lipo tu,lipo la kiswahili na kizungu mpendwa

Tangazo la kizungu lipo ila sio nafasi hizi..! yan ni matangazo mawili tofauti
 
Back
Top Bottom