wametoa leoHawa jamaa waloshaita watu kwenye usaili au bado?
Wote wanasifa za kupata hiyo kazi acha wakapambaneYani nafasi 1 wameita watu 1001 ??
Mkuu vp possible questions kwenye post ya tax management officer mana sielewi pakuanzia kama una chochote embu kiweke tafadhaliila kwa upande wa watu wa customs wenye degree watu ni wengi sababu wengine wameapply kazi mara mbili,yani kaapply kazi ya tax na customs kwa pamoja.
Mko wengi aisee jiandae vizuriMkuu vp possible questions kwenye post ya tax management officer mana sielewi pakuanzia kama una chochote embu kiweke tafadhali
Kama niliwai kuongoza post zote tatu kwenye written Kanda ya ziwa alafu kwenye oral nikatoka kapa mm ninani mpaka ni wapangie. Muimu usiende ukaanza kubwatuka siasa ukiwa pale utumishi pale Kuna watu wakila haina usalama wataifa nakila kitu kuwa makini kijana.Mko wengi aisee jiandae vizuri
Soma sheria ya forodha ya jumuiya ya Africa mashariki.Mkuu vp possible questions kwenye post ya tax management officer mana sielewi pakuanzia kama una chochote embu kiweke tafadhali
sawa mkuu nashukuru kwa ushauriMko wengi aisee jiandae vizuri
sawa mkuu nashukuru kwa desaSoma sheria ya forodha ya jumuiya ya Africa mashariki.
Mkuu dadavua vizuri naona umechanganya mamboKama niliwai kuongoza post zote tatu kwenye written Kanda ya ziwa alafu kwenye oral nikatoka kapa mm ninani mpaka ni wapangie. Muimu usiende ukaanza kubwatuka siasa ukiwa pale utumishi pale Kuna watu wakila haina usalama wataifa nakila kitu kuwa makini kijana.