Nafasi za kazi TIRA

Msenshe

Member
Dec 18, 2010
40
2
Wadau kuna aliyefuatilia kujua shortlisted candidates wa Tanzania Insurance Regulatory Authority??
 
Hata mi niliomba ila sijaitwa, ila najua ukiona kimya ujue hujaitwa kwa interview tukubali matokeo
 
Walishafanya usaili niliitwa interview ya awali postion ya Computer Systems Analyst nawasikilizia necxt interview, ila jamaa wanalipa vizuri kinoma
 
Walishafanya usaili niliitwa interview ya awali postion ya Computer Systems Analyst nawasikilizia necxt interview, ila jamaa wanalipa vizuri kinoma

https://www.jamiiforums.com/members/el-toro.html
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
Today 04:36 PM
#9

Kama ulienda umevaa hivi sahau.
 
na mimi pia niliitwa interview ya kwanza wiki 3 hadi mwezi umepita ya Computer System Analyst na leo nimeitwa niende kwenye interview ya pili next week
 
jamani kuna mtu anajua kuhusu ziile nafasi za NIDA tulifanya interview tangu mwishoni mwa April ila mpaka leo ni kimya sijasikia lolote au watu washaitwa?
 
Kama ni wale jamaa wa SELF wizara ya fedha walishaa ita tarehe mbili mwezi huu na interview week hii watu wanenda!
, mkuu self kivipi cjakuelewa hapo, wizara ya Fedha ilitoa nafac nyingi mwezi wa 5, na kwa hesabu za haraka ha2jajua kama wameita ila kama ndiyo hao haina shida 2taomba kwinginevia Mobile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom