Nafasi za kazi TCC

Nafasi za kazi TCC

Kwann unasema ivyo?
Binafs nimeshawahi kwenda pale kiwandani kwao mara kadhaa kutafuta kazi za usafi na kubeba mabox but blahblah nyingi sana kutoka kwa wale walinzi utazani wao wanaajiri,mwisho wa siku wanakuambia nenda hapo bora shoes vibarua kama vyote utadhani mim sijapaona hapo bora
 
Walitaka mlungula.
 
Back
Top Bottom