vicky fredy
Member
- Sep 28, 2013
- 34
- 1
Jamani yoyote anayejua au aliyesikia kuhusu hii supermarket nimeona tangazo njiani na unatakiwa uende na elfu mbili
ya kujaza form ya ajira.
Wadau kuna ukweli ndani yake au ndo watu wapo kazini yoyote anayeijua au kuisikia hii supermarket anijuze tafadhali.
ya kujaza form ya ajira.
Wadau kuna ukweli ndani yake au ndo watu wapo kazini yoyote anayeijua au kuisikia hii supermarket anijuze tafadhali.