Nafasi za kazi saluni

Irene marwa

Member
Jul 25, 2020
35
36
IRENE HAIR BEUTY SALON

NAFASI YA KAZI
location:kigamboni,ferry
Anahitajika dada au kaka anayejua kusuka vizuri mitindo yote ‍♀️
awe anajituma mchapakazi na kuwahi kazini saa 2
mshahara ni 150,000 kwa mwezi
Mawasiliano;0789041461

KARIBUNI SANA

Kwa aliye serious anichek
 
Fursa hiyo kwa wasukaji,

Ni vizuri ukaelezea kwa siku msukaji anatakiwa afanye hiyo kazi kwa saa ngapi? akifika kazini hiyo saa 2 anatoka muda gani?
 
Back
Top Bottom