Nafasi za kazi saluni

Nafasi za kazi saluni

Irene marwa

Member
Joined
Jul 25, 2020
Posts
35
Reaction score
36
IRENE HAIR BEUTY SALON

NAFASI YA KAZI
location:kigamboni,ferry
[emoji419]Anahitajika dada au kaka anayejua kusuka vizuri mitindo yote [emoji139]‍♀️
[emoji419]awe anajituma mchapakazi na kuwahi kazini saa 2
[emoji419]mshahara ni 150,000 kwa mwezi
[emoji419]Mawasiliano;0789041461

KARIBUNI SANA

Kwa aliye serious anichek
 
Fursa hiyo kwa wasukaji,

Ni vizuri ukaelezea kwa siku msukaji anatakiwa afanye hiyo kazi kwa saa ngapi? akifika kazini hiyo saa 2 anatoka muda gani?
 
Fursa hiyo kwa wasukaji,

Ni vizuri ukaelezea kwa siku msukaji anatakiwa afanye hiyo kazi kwa saa ngapi? akifika kazini hiyo saa 2 anatoka muda gani?

Mda wa kuondoka inategemeana na wateja hiyo siku hali ikoje ila exactly time ni saa mbili ndo nafunga saluni
 
Mshahara laki na nusu acha mizaha. Salon muachie dada u kaka, muwekee malengo kwa siku akuletee elfu 20...zikizidi zake!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Mshahara laki na nusu acha mizaha. Salon muachie dada u kaka, muwekee malengo kwa siku akuletee elfu 20...zikizidi zake!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe fungua saluni yako umuachie dada au Kaka, Mtoa uzi kafungua ya kwake anaendesha anavyotaka, mbona kupangiana tena mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom