Nafasi ya kazi, dada wa saloon

Nafasi ya kazi, dada wa saloon

jisanja

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
1,075
Reaction score
684
Anahitajika mdada wa saluni maeneo ya bugurun...ambaye atakuwa serious na kazi yake.
Awe anajua kusuka mitindo mbalimbali na kufanya setting...
Mshahara maelewano....
Kama una ndugu au rafiki ambaye unahis anaweza fanya kazi hio ni pm....
 
Back
Top Bottom