mcharewamwika
Member
- Jul 27, 2011
- 10
- 1
Kampuni ya amazing Star inawatangazia nafasi za kazi vijana wa kike na wa kiume. karibu kwenye Promosheni kubwa ya uuzaji wa vitabu katika mikoa ya D'salaam, Arusha na Moshi itakayoanza mwezi huu wa pili. Usaili utafanyika tar 31/1/2015 kwa D'salaam na taehe 15/2/2015 kwa upande wa arusha na Moshi na itafanyikia Arusha. Tafadhali fika kwenye usaili tarehe hizo na utapewa form ya maswali Questionnaire ambayo utaijaza na pia utaulizwa maswali kadhaa ya ufahamu na baada ya hapo basi jopo la wataalamu wetu litaamua kama wewe ni sehemu ya watu tunalowahitaji na hapo utapewa maelekezo zaidi. Donge nono la mshahara litatolewa kwa wale wote watakao bahatika kujiunga na timu yetu. zingatia tarehe zilizotajwa na utapiga simu upewe maelekezo ya kufika olfisini kwetu. kwa mawasiliano zaidi tupigie 0757 651250 na 0755 209420