Nafasi za kazi Q-sem Arusha wametoa taarifa zozote kuhusu interview?

NEWSINKP

Member
Sep 26, 2016
77
92
Habari zenu wana JF.
Ni mwezi umepita sasa tangu Q-sem Arusha watangaze nafasi mbali mbali za kazi. Kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa yeyote kuhusu hili naomba atujulisha, pengine walishaita watu kwa ajili ya interview.
Ahsanteni
 
Back
Top Bottom