covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 8,045
- 20,080
Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama kwenye shule nchini inaboreshwa na kuhimiza matumizi sahihi ya tehama kwenye elimu kama msingi wa maendeleo endelevu kwa taifa kwenye karne ya 21. Shirika linafanya kazi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo upande wa tehama na elimu. kwa kushirikiana na wadau kwa sasa shirika limeanza kutekeleza program yake ya "technology in education" yenye kauli mbiu "shule zetu kidigitali" kwa kuwezesha huduma mbalimbali za tehama kwenye shule za serikali za msingi na sekondari nchini.
Elimu Tech Foundation (ETF) inatafuta (volunteer) kujaza nafasi ya program manager, finance officer, research & statistics officer.
Post: program manager 1 (volunteer)
Majukumu ya kazi
kusimamia mradi
kusimamia na kupanga gharama za mradi
kusimamia na kuandaa ratiba ya mradi
kuainisha vipao mbele vya mradi
kuandaa maandiko ya miradi midogomidogo
Elimu na uzoefu
• Degree ya project management uzoefu ni kuanzia mwaka 1 na awe ameshiriki katika mradi wowote wa maendeleo katika nafasi ya usimamizi
Post: finance officer 1 (volunteer)
Majukumu ya kazi
Usimamizi wa Fedha
Kuwezesha Malipo
Kuandaa Hesabu za Mwisho wa Mwaka
Ushauri na Uthibiti wa fedha za mradi
ukaguzi wa Awali wa nyaraka zote za fedha
Elimu na uzoefu
• Degree ya usimamiz wa fedha na uzoefu ni kuanzia mwaka 1 na awe ameshiriki katika mradi wowote wa maendeleo.
Post: research & statistics officer 1 (volunteer)
Majukumu ya kazi;
Kusaidia kuandika na kukusanya ripoti za utafiti wa elimu na tehama
Kukusanya, kurekodi na kuchanganua takwimu za kazi za utafiti zinazoendelea
Kuandika mapendekezo ya utafiti
Kuandika ripoti za mradi na utafiti
Kufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.
Elimu na uzoefu
• Degree ya research & statistic au inayofanania na hiyo na uzoefu ni kuanzia mwaka 1 na awe ameshiriki katika mradi wowote wa maendeleo.
Post: digital officer 1 (volunteer)
Majukumu ya kazi;
Ukaguzi wa mahudhui na Usimamizi wa mitandao na kurasa zote za organization
Kuwezesha kutangaza program zote za organization kidigitali
Kutangaza na usimamizi wa posti zote za program kwenye mitandao ya kijamii
Uthibiti wa mahudhui kwenye mitandao na kurasa zote za organization
Elimu na uzoefu
• Diploma au Degree yoyote.
• Awe na uzoefu wa digital marketing, Ubunifu ni sifa ya ziada
maombi yote yatumwe kupitia elimutech4@gmail.com au kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0757563328 mwisho wa kutuma maombi ni tarehe: 20/08/2021