Nafasi za kazi Peco Company

Sawa, toeni vigezo vyote. Iteni watu waliokidhi vigezo tu, wasiokidhi waacheni. Nahisi kuna vigezo vingne mnavyotumia ambavyo havipo kwenye maelezo yenu

mkuu vigezo vyao vilikuwaje mbona hatujaelewa? Au Si hivo hapo juu?
 
Tunasubiri majibu yenu tuliofanya interview mlituambia ndani ya saa 48 tutapata mrejesho. Sijaelewa kama mrejesho ni kwa waliofuzu tu au?
 
mi nauliza majibu mlisema within 48 hours mnatoa ila mimi sijapata feedback yoyote au mrejesho ni kwa waliofuzu tu. napenda kujua.
 
Mliitwa watu 25 waliokidhi vigezo wamepatikana 7 tu!. If u ar not contacted within 48 hrs, assume unsuccessful. Walitangaza mara ya pili ili wapate watu 3 total ifikie ten. Sio kila kitu muambiwe, mda ulio ahidiwa ukipita tambua ushaliwa. Samahani Mm sio mtoa taarifa wa peco
 
Umejibu Vema Kama Uko Hapa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom