Nafasi za kazi NSSF

Nafasi za kazi NSSF

HIVI JAMANI WADAU HIZI AJIRA ZA NSSF VIPI? MBONA KIMYA SANA TOKA DEADLINE TAREHE 25/07/2014 AU NDO TAYARI WATU WAMESHAITW KAZINI? MICHAKATO YAO SIIELEWI KABISA LABDA KAMA KUNA MWENYE TAARIFA.
NAOMBENI INFO
:angry:
 
kama umetimiza vigezo hofu yako nini? we subiri wataita kwa ajili ya usahili. tegemea kukutana na wenzako wasiopungua 5000.
 
Hivi lakini kuna possibility ya kuingia bila refa ? Watoto wa wakulima hapo inakuaje? Tuombe mungu. Lakini nasikia kuna watu walishaitwa kimyakimya tarehe 15/08/2014
 
Hivi lakini kuna possibility ya kuingia bila refa ? Watoto wa wakulima hapo inakuaje? Tuombe mungu. Lakini nasikia kuna watu walishaitwa kimyakimya tarehe 15/08/2014

Mkuu is it confirmed au tetesi?ila mm naskilizia hapa hapa Jf kama wameshaitwa tutajua tu..
 
Ehhhh tujipange na hv serikali haitaajir tena mpaka karibia na uchaguzi 2020
 
NSSF ulishawahi changia au ndiyo watoka Chuo mkuu?Not seen kunako database,so hauko kunako kipaumbele
 
ukiona hakuna anayekupa jibu la kuitwa ama la wote wanatoka nje ya mada basi ujue bado hawajaita. vuta subira kijana utapata omba mungu!
 
Mambo ya vimemo tutawaumbua kama uhamiaji
hawa walishashindikana,
naapa huwezi kuwaumbua,hawako wazi kabisa kwanza,majina hawatangazi shortlisted,kwa kuwa hakuna anaeweza kuwauliza,pili ndio utaratibu wao kutokuweka hadharani,
ANGALIA HUMU JF HADI RIDHIWANI KIKWETE ALISEMA HAWA MIFUKO YA JAMII NI VIMEMO TUU,NGUMU MTU WA KAWAIDA KUPATA KAZI,ALIYASEMA HAYO BUNGENI,
 
Wakuu NSSF Hizi Kazi Hawajaita Bado?

Au Walishaita Tayari?
 
Genive hivi eti why mtu akipoteza cheti hawampi kingne/?uwa sielewi

Kwani kupoteza cheti ni hatia?help plz

Siku hizi NECTA wanatoa tena vyeti km cha kwanza kilipotea ama kuharibika. Ila kwa wale wahitimu wabmiaka ya hivi karibuni ambao vyeti vyao vina picha.
Kwa wale wa miaka ya nyuma utaratibu bado ni ule ule wa kutopewa tena vyeti zaidi ya statement of results..
 
You are invited for an Interview for the Position of Operation Officer u applied to be held on 13th Dec 14 at IFM.For details Read your email
HR Department NSSF

HIYO NDIO MSG NILOTUMIWA 05/12/2014, Means wameshaanza kuita watu
 
Ahahhaahhah wengije wameandikiwa kiswahili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom