mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,668
kimya kimya wakuu ,htupeani na feedbackMbona tushaanza kazi mkuu
kimya kimya wakuu ,htupeani na feedbackMbona tushaanza kazi mkuu
Huwa wanachukua marks kuanzia 60+.wakuu poleni na harakati. juzi hvi NMB walitanga nafasi ya Contact Centre Agents nikapiga nao aptitude test nika score above 50. till now kimya pasipo feedback yoyote karibia mwezi sasa ,hvi utaratobu wao ukojee? maana kitaa kinawka moto balaa
pamoja mkuu naona na feedback hawajanipaHuwa wanachukua marks kuanzia 60+.
Watakupa tupamoja mkuu naona na feedback hawajanipa
Hivi huchukua mda gani kuita maana sisi tuliofanya 2024 November mpaka sasa kimyaMbona tushaanza kazi mkuu