Nafasi za kazi NMB

Nafasi za kazi NMB

Mimi nime score 65 ila mpaka sasa sijapata email yoyote wala simu yoyote. Najikuta nipo njia panda
 
Huwezi kupata ajira kwa hicho kilugha chako, na kama umemaliza chuo kikuu au chuo chochote cha taaluma yako ndiyo unaandika hivyo, badi pole sana. Ajira utazisikia redio Malawi!
Unistui
 
hizi ajira mshahara ni 30
0000 na u mfuko wa hifadh, no bima ya afya. pia target kwa kila siku ni kufungua account kumi kwa siku, mwendo wa kutembea mtaan na pos yako kutafuta wateja. mkataba ni mwaka mmoja. jua lako, mvua yako. kama siku ujafungua full stress. zikitoka nafas z ajira, watoto wa meneja ndio wanakula shav. wew endelea kupigwa jua. maon yangu 2.
 
Bima ya Afya ipo na mfuko wa hifadhi pia upo,na Commission kwa kila akaunti unayofungua ipo,kuliko kusugua mtaani kama mtu hana kazi inayoweza kumuingizia zaidi ya kipato hicho ni bora akapige mzigo...
 
wakuu poleni na harakati. juzi hvi NMB walitanga nafasi ya Contact Centre Agents nikapiga nao aptitude test nika score above 50. till now kimya pasipo feedback yoyote karibia mwezi sasa ,hvi utaratobu wao ukojee? maana kitaa kinawka moto balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom