Nilijua tatizo ni kwangu tu. Ukipata suluhisho usisite kushare namiAliefanikiwa kuapply izi nafas za kazi za ajira nmb naomba anisaidie kila nikijaribu website yao inaload tu.
Nenda internet cafe yenye speed ya Hali ya juu, mi nilijaribu Hadi nikataka kukata na tamaa niziache zipite Kule na nilikua nikitumia simu, Ila internet cafe nayo inategemeana unaweza ukaenda. Still huwezi fungua so nenda kwa Hawa internet providers ndo inafunguka harakaNilijua tatizo ni kwangu tu. Ukipata suluhisho usisite kushare nami
MKuu mbona mimi nimejaza Lakini humo ndani ukisha log in kazi huzioni, wewe umezionea wapi boss ?, unaweza kuscreenshot nione please. Maana nimejaza required information ila pakuombea hizo kazi sipaoni na hata kazi zenyewe sizioni mule ndani.Nenda internet cafe yenye speed ya Hali ya juu, mi nilijaribu Hadi nikataka kukata na tamaa niziache zipite Kule na nilikua nikitumia simu, Ila internet cafe nayo inategemeana unaweza ukaenda. Still huwezi fungua so nenda kwa Hawa internet providers ndo inafunguka haraka
Mdogo wangu wamemtumia email ya kumjulisha aptitude test ni tarehe 22 September 2022 saa 8 mchana EAT.NMB wametoa majibu jana tarehe 20/9/ kama kuna mtu amefanikiwa naomba nicontact nae
Mkuu hata mimi wamenitumiaNMB wametoa majibu jana tarehe 20/9/ kama kuna mtu amefanikiwa naomba nicontact nae
Mawazo gani sasa?Alieko lake zone anicheki tutakua tukisaidiana mawazo au hata kupeana michongo mingine 0626219546
Hii post c ilikuwa ni northern zone?
mathematics + englishMwenye sample ya aptitude test ya Nmb atume