Nafasi za kazi new force enterprises ltd

Nafasi za kazi new force enterprises ltd

Hivi hii kampun kila siku nasikia magari yanapata ajali kwaio mwana JF ataepata hiyo nafasi tuanze Kum wish r.I.p sasa ivi au!!!?
 
Mkuu ukiskia wakitangaza nafasi za wahudumu ndani ya gari(ukonda) utuwekee tangazo pia,natamani sana hizi kazi mikoni kwa kua fani yangu pia ni ya magari
Hapo juzi kati Kampuni ya Super feo walitangaza nafasi za wahudumu wa ndani ya basi,Jaribu kuomba ofisi zao zipo mitaa ya gerezani
 
Makampuni kama haya ukiona mpaka wametangaza ivi ujue hata malipo ama mishahara yao yakusuasua sana,Pale Ubungo madreva wamejaa kibao wangeshaomba tayari
 
Hapo juzi kati Kampuni ya Super feo walitangaza nafasi za wahudumu wa ndani ya basi,Jaribu kuomba ofisi zao zipo mitaa ya gerezani
Hawana maana mpaka uwe na mchongo ndo unapata, saiv wanatafta madereva wahudumu walishapata
 
Hapana mkuu, hata sikuomba ingawa nilikua natamanii, IST yenyewe kuendesha sijui, nisijewamwaga abiria wa Mungu bure, vipi wewe unaendeleaje?,bado upo huko?
Bado nipo
newforce_enterprises_20200512_200547_0.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni mchina aende NIT akachukue madereva wa batch ya 451! Ile batch ina madereva wa ukweli sana! Wote wako vizuri kwenye usukani na kupiga gear.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom