mombasafinest
Member
- Mar 6, 2017
- 67
- 78
Intake yao wanafanya at what time of the yearwanamaanisha cheti cha data collection kinatolewa chuo cha takwimu kwa miezi miwili,ada yake ni 450,000 na application ni 30,000 so andaa kama 480,000,ukisoma hiyo utakuwa na uhakika wa kazi kwakuwa wanavikazi vingi vingi so vijimilioni milioni hutovikosa
Kumbe bado hawajaanza kuita watu enhee!? Sasa kazi yenyewe wataianza lini ya kuita, maana huku mtaani sio poa.Mmmmh jamani wewe unavyojua kuwarusha roho wenzio?
Kama kuna aliyeitwa Kwa ajili ya interview atujuze tafdhariKumbe bado hawajaanza kuita watu enhee!? Sasa kazi yenyewe wataianza lini ya kuita, maana huku mtaani sio poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ailiye na hizi taarifa atujuzeNasikia DSM washaitwa ktk usaili! Kweli?