Nafasi za kazi mkoa wa Shinyanga

Nafasi za kazi mkoa wa Shinyanga

ilende

Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Wanahitajika sales executives,kiwango cha chini cha elimu ni kidato cha 4 na wenye uzoefu kwenye sales field watafikiriwa kwanza kazi nikutoa mikopo,na kipato ni kwa commission.Mawasiliano 071421260.
 
Kumradhi kwa namba kutokamilika ni 0714 521260 au 0688437719. Tuwasiliane kwa namba hizo.
 
je walio nje ya mkoa wa shinyanga?

Eneo la kufanyia kazi ni mkoa wa Shinyanga na wilaya zake, kwa walio Shinyanga kimazingira na miundo mbinu ni rahisi zaidi kwa upande wao.
 
Eneo la kufanyia kazi ni mkoa wa Shinyanga na wilaya zake, kwa walio Shinyanga kimazingira na miundo mbinu ni rahisi zaidi kwa upande wao.

ap n kuuza v2 vya ndan tena kwa kutembeza eken watu waz namtaje mshaara sh ngp
 
Ni taasisi ya fedha inayotoa mikopo ya pesa, soma maelezo vizuri kipato ni kwa kamisheni.
 
yan sales executive_na hl la kutoa mkopo kwa kamishen mbna v2 vwl tofaut ok meanx ao mtakaowagawia mkop wakikmbia nayo je?
 
Watakao fanya vizuri kwenye usaili watapewa mafunzo kabla ya kuanza kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom