nafasi za kazi mgodi mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nafasi za kazi mgodi mpya

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by musa john, Apr 25, 2012.

 1. m

  musa john Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  TANGAZO LA KAZI

  Kampuni ya CHIWACO INVESTMENT'S COMPANY LIMITED.
  inatangaza nafas ya kaz katika mgodi mpya MASUMBWE BUKOMBE

  1) Operators nafasi 14
  2) Supervisors nafasi 17
  3) Ofisi secretary nafasi 10
  4) madereva wa magari nafasi 14
  5) Walinzi nafasi 20

  mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/5/2012 tuma kwa email vivul vya kopi za elimu au uzoefu wa kazi
  meneja uhusiano.
  email chiwainvestment@gmail.com
  au piga simu muda wa kazi 0769560479
   
 2. m

  musa john Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndugu zangu nimekuta tangazo limebandikwa kahama nikaamua niwashirikishe ili tusaidiane juu ya tatizo hili la ajira
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Inasikitisha sana watawala wameamua kuuza non renewable resources zote sijui nitawaambia nini wajukuu zangu
   
 4. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nashukuru,ila inashangaza kazi hazina hata vigezo anyway nitajiongeza kwa kuwapigia simu
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Operators wa Nini?
  Supervisors wa nini?
  Tangazo halijajitosheleza kabisa.
  Vp kampuni haina website yao?
   
 6. C

  Crecent Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks!!!God bless you
   
 7. z

  zenna Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  thank you mkuu, ni vema tukasaidiana katika kaz ya kutafuta kazi, coz having a right information inasaidia sana.
   
 8. m

  musa john Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jaman mimi nimelikuta limebandikwa kahama nikafanya kuchukua baadhi ya detail na kuziweka humu sikuweza kuzikalili zote pia nimeshindwa kulibandua na kuliscan lakin pia mnaweza kupiga simu mkamuuliza mhusika mm sijui lolote nimefanya msaada tu au nimekosea wakuu
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  poa sana
   
 10. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu, pamoja sana.
   
 11. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mbona hii kampuni haipo kwenye orodha ya BRELA? Au ndio tumeliwa?
   
 12. m

  musa john Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jaman nimeulizia nimeambiwa mgoni unafunguliwa rasmi mwezi wa saba interview ni mwezi wa sita kwa watakaochaguliwa pia kaz rasmi wanaanza mwezi wa saba sasa hivi niwanafanya ujenz pia kama hauamin sio razima mkuu
   
 13. n

  neema pita Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kazi za siku hizi bila chochote au kumjua mtu tutakaaa sana nyumban mdogo wangu kaongea na huyo dada ambae ni msimamizi wa mgodi kamuunganisha na HR kaambiwa atoe laki moja sasa hivi akianza kazi ampe HR laki 2 nakapewa email ya HR atumie maombi sio hiyo ya wote na kaambiwa aende tarehe 20 mwz wa sita mmmmmh kaz ipo kazi za siku hizi bora kupika vitumbua rushwa haishi hata wakifanya nini
   
 14. D

  Doricy Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huo mshahara ni mkubwa kiasi gani hd ampe laki 2..2mekwisha watoto wa walala hoi.
   
 15. n

  neema pita Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaaaaaaaaaaaah ukibahatisha umeuchinja migodini kuna mishahara mikubwa kuanzia laki 7 mpaka milion kupata ndo kimbembe
   
 16. j

  jojopidosa New Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  E bwana musa we ni wa kupongezwa tu, kwa hizo jitihada ulizofanya. thax, pamoja!!!!!!!:target:
   
 17. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wakubwa jinga gani nao wanamiliki hii ?
   
 18. j

  jojopidosa New Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oh mpe pole sana mdogo wako, tufanye jitihada kumtangaza huyo HR mtaka rushwa.
   
 19. j

  jojopidosa New Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oh mh kali!
   
Loading...