Nafasi za kazi manispaa ya Sumbawanga

Nafasi za kazi manispaa ya Sumbawanga

tambuu

New Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Mwenye tangazo la nafasi za kazi za utendaji manispaa ya sumbawanga anisaidie
 
Na manispaa wametangaza au ni Sumbawanga District. Mie nipo hapa town.
 
mambo niaje mkuu, hebu nisaidie hivi kuna sumbawanga manispaa na sumbawanga district, maana kuna ishu nakuja kufatilia nimeshindwa kujua manispaa au district
 
Ipo municipal na Sumbawanga district zaman rural
 
Back
Top Bottom