Nafasi za kazi maafisa mauzo

Nafasi za kazi maafisa mauzo

albertno

Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
36
Reaction score
8
Sales Representatives (Afisa Mauzo)
Platinum Credit Ltd ni kampuni inayotoa huduma ya mikopo ya dharura kwa watumishi wa serikali ya Tanzania na wafanya biashara raia wa kitanzania wa rika la kawaida na rika la kati. Kampuni imejizatiti kuhakikisha huduma zake kwa wateja zinapatikana ndani ya muda wa saa 24.
Katika kuimarisha juhudi zake za kutoa huduma inayoridhisha kwa wateja wake, Kampuni inatangaza fursa ya ajira kwa vijana watanzania kama ifuatavyo:
  • Nafasi : Afisa Mauzo ( Nafasi 30)
  • Eneo la kazi: DAR ES SALAAM
  • Majukumu
a) Kupanga sehemu ya kwenda kufanya mauzo
b) Kushiriki katika shughuli za masoko na kutangaza bidhaa za kampuni
c) Kujibu maswali ya wateja
d) Kusaidia wateja kujaza fomu pamoja na nyaraka zinazohitajika
e) Kutoa ushauri juu ya mkopo wa kujaza na jinsi ya kusitisha mkopo kwa wateja waliopo
f) Kuwasiliana na meneja wako wa tawi kuhusu changamoto unazozipata sokoni
g) Kufuatilia wateja waliohama /wasiolipa
h) Kushirikiana na viongozi wa tawi kuidhinisha na kuingiza makato kwa mwajiri kwa kila mkopo
iv. Sifa za muombaji
a) Awe na elimu isiyo chini ya kidato cha Nne.
b) Awe mwenye kujituma kutafuta masoko na kuhudumia wateja
c) Awe na utayari na uwezo wa kujifunza kazi kwa haraka.
d) Awe na uwezo wa kuongea vizuri Kiswahili
e) Awe na lugha nzuri ya kuongea na wateja na kushirikiana na wafanyakazi wenzake.
f) Awe mwaminifu kwa wateja na kujitambua katika kazi na maisha binafsi.
g) Awe na umri usiopungua miaka 20.

v. Jinsi ya kutuma maombi
Muombaji anaweza kutuma maombi yake kwa njia mojawapo ya hizi zifuatazo:

a)*Maombi yaambatane na:
ü Nakala ya wasifu wa muombaji,
ü Nakala ya veti vya muombaji,
ü Picha ndogo(passport size) mbili za karibuni.

Imetolewa
Utawala,
Platinum Credit Ltd,
Makao Makuu-Dar es Salaam.
 
Maombi yatumwe:Email:albert.max@platinumcredit.co.tz or maxmasoko@gmail.com
 
Mradi tu isije ikawa ni ule utapeli wa kumwambia mwombaji atume ada sh 10,000. Wengi wamelizwa na huu mtindo. BTW mbona hamna kiwango cha mshahara.
 
Weka na mshahara boss isije kuwa ni commission basis.
Siku hizi watu wanaogopa kukopa kiliko moto wa jahanamu.
Riba inaogopesha sana watu!!
 
Kazi hii ni ya commision basis na mikopo yetu inatolewa ndani ya masaa 24 na mteja ana uwezo wa kufuta mkopo wake pindi anapomaliza shida yake hii imepelekea kampuni kua na wateja wengi kila kukicha hivyo ni fursa nzuri kwa vijana.
 
0746811000....aliyekua na wasawasi namba hio ya makao makuu karibuni sana kwa wote wanaohitaji kufanya kazi na kujiingizia kipato.
 
Kuna ile platinum ipo mbeya uhindini karibu na ofisi za tanesco ni moja na hii kampuni?
 
Platinum wanakopesha walimu muda ukiisha wanaendelea na makato
Sister wangu ilimsumbua sana niliwadharau forever
Kama nyie mnavyotafuta fedha na wenzetu wanatafuta
Weka mkataba fuata mkataba
 
Kama hili lilitokea tunaomba radhi hii inatokea tu pale mwajiri wake hakusimamisha makato muda ulipoisha ila ni lazima kampuni imrudishie mteja fedha zote alizokatwa kimakosa.Hatukopeshi walimu peke yake bali watumishi wote wa umma na kampuni binafsi zilizo dhibitishwa.
 
sitawasahau mlisababisha rafiki yangu akaacha kazi ya ualimu. kamshahara kake mlikuwa mnambakizia elfu 16 hata huruma hamna
 
Kubaki na hio fedha ni uamuzi wake na sio taasisi yetu maana watumishi wengi wanakopa zaidi ata ya taasisi tatu cha msingi ni kufata sheria ya serikali mtumishi abaki na moja ya tatu ya mshahara wake.
 
Back
Top Bottom