mtanga255
Member
- Sep 25, 2017
- 36
- 19
Haya makundi yaliyo itwa hilo naiman litakuwa la 10 mana walishaitwa watu b4 hawa na mpka leo wapo tu wanasubiri kuitwa nikiwemo mimi cjui kuna kwamia wapi.Waliitwa tena interview ya pili baada ya miez kadhaa Ila Sijui kama wameanza kazi