Nafasi za Kazi kwenye Mgahawa

Nafasi za Kazi kwenye Mgahawa

Rronnberv

Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
5
Reaction score
8
Wadau;

Kuna mgahawa mpya unafunguliwa Dar es salaam Posta Mpya, kwa hiyo tunatafuta watu wafuatao;

Fresh Graduate 4 mabinti (Wahitimu walio na diploma au degree kwa masomo ya biashara)
Form 6 leavers 10 (mabinti 8, vijana wa kiume 2)
Form 4 leavers 26 ( mabinti 15, vijana wa kiume 11)

ANGALIZO; wasiwe wameshawahi kufanya kazi sehemu yoyote (Wasio na uzoefu wa kazi yoyote).
Mwisho wa kutuma C.V ni Alhamis tar 10, saa 11 Jioni,

Tuma C.V kwenye email hii; roandra7@gmail.com
 
Nafasi za upendeleo kwa wasichana, hivi mkuu hao watu mtawafundisha wenyewe hayo majukumu?
Kwa nini hamtaki wazoefu hata wachache

Tuyaache kama yalivyo
 
Tuna watu mzoefu akaye wafundisha kwa week 2
 
Wadau;

Kuna mgahawa mpya unafunguliwa Dar es salaam Posta Mpya, kwa hiyo tunatafuta watu wafuatao;

Fresh Graduate 4 MABINTI (Wahitimu walio na diploma au degree kwa masomo ya biashara)
Form 6 leavers 10 (MABINTI 8, VIJANA WA KIUME 2)
Form 4 leavers 26 ( MABINTI 15, VIJANA WA KIUME 11)

ANGALIZO; wasiwe wameshawahi kufanya kazi sehemu yoyote (Wasio na uzoefu wa kazi yoyote).
Mwisho wa kutuma C.V ni Alhamis tar 10, saa 11 Jioni,

Tuma C.V kwenye email hii; roandra7@gmail.com

Kwanini hutaki mwenye uzoefu?? Huo ni uoga usio ni msingi
 
Nafasi za upendeleo kwa wasichana, hivi mkuu hao watu mtawafundisha wenyewe hayo majukumu?
Kwa nini hamtaki wazoefu hata wachache

Tuyaache kama yalivyo
Kweli bongo bahati mbaya..kila kitu lawama tu
Ukiambiwa wenye experience 2yrs+ mtalalama sasa hapo no experience are required.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau;

Kuna mgahawa mpya unafunguliwa Dar es salaam Posta Mpya, kwa hiyo tunatafuta watu wafuatao;

Fresh Graduate 4 MABINTI (Wahitimu walio na diploma au degree kwa masomo ya biashara)
Form 6 leavers 10 (MABINTI 8, VIJANA WA KIUME 2)
Form 4 leavers 26 ( MABINTI 15, VIJANA WA KIUME 11)

ANGALIZO; wasiwe wameshawahi kufanya kazi sehemu yoyote (Wasio na uzoefu wa kazi yoyote).
Mwisho wa kutuma C.V ni Alhamis tar 10, saa 11 Jioni,

Tuma C.V kwenye email hii; roandra7@gmail.com
Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajira km hizo zinaishaga ghafla na kimgahawa kinafungwa.
Kuna staff 50 wanaohitajika pale kwa mgahawa unaoanzishwa tayari staff ni wengi mno.
Mtawalipaje?
 
Back
Top Bottom