Nafasi za kazi kwenye kampuni ya YAPI MERKEREZI

Nafasi za kazi kwenye kampuni ya YAPI MERKEREZI

Kuna mwenye tangazo la hizi kazi?

Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
 
Nendeni kariakoo gerezani,ukiwa utaokea changombe mataa kona ya kuingilia gerezan brt stendi kabla ujaifikia reli ndo apo michakato yote utajulishwa kuna fomu za kujaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaomba tu kulingana na fani awaja olozesha wanataka watu gani

Sent using Jamii Forums mobile app

a1d3f54387102d78ccbb61f5e2950223.jpg
 
tunajenga reli ya kisasa kabisa ndugu watanzania Kama kuna DADA anataka kazi ya usimamizi wa kazi pamoja na kufanya kazi za kupkia waturuki na wareno anitafute nimuunganishie
 
tunajenga reli ya kisasa kabisa ndugu watanzania Kama kuna DADA anataka kazi ya usimamizi wa kazi pamoja na kufanya kazi za kupkia waturuki na wareno anitafute nimuunganishie
Hapo ni Kazi mbili au moja mkuu??
 
Ofisi zao ziko wapi?
Mimi najua ofisi zao zipo pale karibu na Palm beach,ukitokea posta teremkia kituo cha palm beach rudi nyuma hatua chache upande huohuo ulioshukia kuna barabara ya lami ifuate hiyo mita kama 20 hivi au 30 mbele yako utaona jengo la ghorofa moja ama mbili.Hapo ndipo ofisi zao zilipo.Zipo ghorofa ya kwanza.
 
Back
Top Bottom