Nafasi za kazi kwenye company ya microfinance

Nafasi za kazi kwenye company ya microfinance

elijaah

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
1,313
Reaction score
2,762
Habar wanahitajika vijana 2 wa kufanya kazi katika company ya kukopesha hela wa kike 1 na wa kiume 1, umri wasizidi miaka 24

Kituo cha kazi ni Zanzibar (Pemba)
Mshahara ni 170k kwe mwez na posho ya 5k kila siku.
Sehem ya malazi kw watumishi ipo.

Kwa mawaziliano zaid wasiliana kw simu no +255677658908
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom