JESO PREMIERE
New Member
- Jan 19, 2018
- 2
- 0
Habari kampuni ya JESO PREMIERE iliyoko ilala dar es salaam inatangaza nafasi za kujitolea kwa wahitimu wenye ujuzi wa IT Ngazi ya certificate,Diplom na Degree. tuma maombi yako kupitia Jesopremiere@gmail.com (cv,barua ya serikali za mitaa,nakala ya kitambulisho cha kura au uraia