helo wakubwa i heard kuna nafasi za kazi kwa wana IT kwenye daily news ya leo Monday 4th,october 2010 somebody with more details pliz hem tujuze zaidi
kuna kazi imetangazwa kwenye gazeti la daily news..au
kuna kazi ya it na mwajiri ni daily news?
Kuna utata sana hapo,
embu weka sawa!