nafasi za kazi kwa wana jf

cutepbaby

New Member
Feb 27, 2010
2
0
helo wakubwa i heard kuna nafasi za kazi kwa wana IT kwenye daily news ya leo Monday 4th,october 2010 somebody with more details pliz hem tujuze zaidi
 
helo wakubwa i heard kuna nafasi za kazi kwa wana IT kwenye daily news ya leo Monday 4th,october 2010 somebody with more details pliz hem tujuze zaidi

Kuna kazi imetangazwa kwenye gazeti la daily news..au
Kuna kazi ya IT na mwajiri ni daily news?

kUNA UTATA SANA HAPO,
Embu weka sawa!
 
kuna kazi imetangazwa kwenye gazeti la daily news..au
kuna kazi ya it na mwajiri ni daily news?

Kuna utata sana hapo,
embu weka sawa!

huyu atakuwa anatafuta kadi ya mwaliko wa harusi jumamosi mwenye harusi embu mtumien jamani weeknd yake alikuwa njema
 
Acheni dhihaka kwenye maisha ya watu. Wengine kuyapata magazeti ni kazi. Huyo bwana anaulizia nafasi za kazi zilizopo kwenye gazeti la Daily News za IT. Mwenye access na gazeti hilo amjuze.
 
hiyo kazi nadhani ni ya USAID mamabo ya IT... ingia website ya usaid halafu search kwenye vacancies
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom