Nafasi za kazi kwa walinzi 100

mischa

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
368
176
[h=2]Nafasi za kazi kwa walinzi 100 katika kampuni ya New Imara Security Co. Ltd.[/h] 06/07/2012


KAMPUNI YA NEW IMARA SECURITY CO.LTD INAHITAJI WALINZI 100 WENYE SIFA ZIFUATAZO;

1. 1. AWE MTANZANIA MWENYE UMRI WA KUANZIA MIAKA 18 NA KUENDELEA.

2. 2. AWE NA CHETI CHA KUHITIMU MAFUNZO YA MGAMBO, SKAUTI AU KUSTAAFU KWA HESHIMA KATIKA JESHI LA POLISI, JWTZ, JKT NK.

3.3. AANDIKE BARUA YA MAOMBI NA KUAMBATANISHA PICHA NNE PASSPORT SIZE.

4.4. BARUA ZA WADHAMINI WAWILI ZENYE PICHA MOJA MOJA

5.5. BARUA YA AFISA MTENDAJI MAHALA ANAPOTOKEA

Maeneo:


  • MBEYA fika ofisi makao makuu iliyopo eneo la viwanja vya Sokoine Mbeya Mjini mkabala na benki ya NMB au katika matawi yake yaliyopo wilaya ya Kyela eneo la Stendi ya Mabasi, Tunduma karibu na CCM, Rungwe (Tukuyu) karibu na Hotel ya Land Mark.
  • DODOMA fika karibu na Soko la Kariakoo.
  • MTWARA ofisi zipo eneo la soko kuu mkabala na Msikiti Mkuu.
  • LINDI ofisi zipo Barabara ya Kawawa
  • DAR ES SALAAM ofisi zipo Buguruni Mandela Road
  • IRINGA tupo uwanja wa Samora.
  • NJOMBE tupo eneo la Makambako karibu na Posta.

KWA MAWASILIANO ZAIDI

PIGA SIMU
0754 443 953
0715 166045
0784 728691
0715 295206
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom