Nafasi za kazi kwa vijana 10 wa kike wa kiislamu

Mkuu ni sawa kabisaa mimi binafsi nimesaidiwa na nimesaidia sana ingawa baadhi ya wengine shukran huwa si jadi yao lakini hiyo isituzuie kutoa msaada.
Unaposaidia usisubiri shukrani. Fanya kama ni jukumu lako na siku ya hesabu ndo utaona umuhimu wa ulichokifanya.
 
Sio kweli. Usipotishe. Nimewahi Fanya kazi karitasi kwakuajiriwa na kupata stahiki zote na sio mkristo
Caritas au Compassion kupata kazi wakati sio wa imani yao ni ngumu sana. Na siwalaumu kwa hilo.
 
ebu nisaidie mimi uone ntakavyokurudishia shukran
Sina fursa kwa sasa siwezi kukuhadaa...lakini shukrani siyo lazima sana hata usipopewa hawezi kukufanya usiwe supportive kwa watu. Ila utapata tuu kile unachohitaji wapo wengi humu wanaweza kukupa huo msaada don't worry
 
Unaposaidia usisubiri shukrani. Fanya kama ni jukumu lako na siku ya hesabu ndo utaona umuhimu wa ulichokifanya.
Ni sawa mkuu lakini binafsi huwa na feel indebted. Mtu akinisaidia lazima nimshukuru. Namshukuru Mungu nisiye muona kwa macho kila siku nishindwe kumshukuru binadamu ninaye muona kwa macho mwenye ndugu na jamaa wengi ambao amewaacha akaamua kunisaidia mimi .Hapana, I was not raised like that na my conscience haiwezi niruhusu.
 
Sina fursa kwa sasa siwezi kukuhadaa...lakini shukrani siyo lazima sana hata usipopewa hawezi kukufanya usiwe supportive kwa watu. Ila utapata tuu kile unachohitaji wapo wengi humu wanaweza kukupa huo msaada don't worry
shukran mkuu kwa kua muwazi ikitokea usisite kunijulisha....pale uliposaidia watu Mungu atakubariki kwa namna usiyoijua

usichoke kua supportive hata kama hakuna shukrani
 
Bokoharam na Alshabaab huwa wanatumia mbinu kama hii kupata wanawake na hatimaye kuwateka na kuwapeleka kwenye kambi zao za siri kuwatumia kwa starehe zao. Dada zetu kuweni makini sana maana niliwahi kusikia kisa cha binti mmoja wa Mombasa naye alihadaiwa kwa mbinu kama hiihii mwisho wa siku akaishia kuwa mtumwa wa ngono. Kwa mujibu wake baadae alifanikiwa kutoroka lkn huko aliwaacha mabinti wengi sana na baadhi yao ni mabinti waislam wa kiTanzania.
 
Hiyo Ni policy ya Caritas Duniani!

Wewe una sifa gani so special ambayo iwafanye caritas wakiuke policy Yao tangu waje 1970s Kwa ajili yako Wewe Mmoja
Acha kudanganya umma, kuna wafanyakazi wengi tu wa Caritas wasio wakristo wala waktoliki. Wenzenu wanajali ufanisi kazini na si huyu mwenzetu na yule si mwenzetu.
 
Asalaam aleykum, wanahitajika wasichana 10 kwa ajili ya kazi ya data entry(kuingiza kumbukumbu)
Sifa za waombaji
1. Wawe waislam(shirika la dini)
2.umri kuanzia miaka 20
3.elimu kuanzia form six na kuendelea
4.CV(yenye namba za simu) ambatanisha na picha
Maombi yatumwe kwenye email
Islamicfoundation9@gmail.com kabla ya 20/5/2018
Ukiwa na elimu zaidi ni faida shirika linataraj kutangaza nafasi zingine za kazi
umeacha kigezo kimoja, awe bikra! si mnataka wasafi? hao watakaokuja muwapime ndio mtajua bora mngechanganya na watu wa dini zingine kwasababu hamna kitu.
 
Asalaam aleykum, wanahitajika wasichana 10 kwa ajili ya kazi ya data entry(kuingiza kumbukumbu)
Sifa za waombaji
1. Wawe waislam(shirika la dini)
2.umri kuanzia miaka 20
3.elimu kuanzia form six na kuendelea
4.CV(yenye namba za simu) ambatanisha na picha
Maombi yatumwe kwenye email
Islamicfoundation9@gmail.com kabla ya 20/5/2018
Ukiwa na elimu zaidi ni faida shirika linataraj kutangaza nafasi zingine za kazi
ungeenda msikiti wa kwenu ungetangaza dk 0 tu.
 
Acha kudanganya umma, kuna wafanyakazi wengi tu wa Caritas wasio wakristo wala waktoliki. Wenzenu wanajali ufanisi kazini na si huyu mwenzetu na yule si mwenzetu.

Nitajie jina la Muislam yoyote ( Mmoja tu) aliewahi kuajiriwa tangu Caritas isajiliwe hapa Nchini 1971?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom