makubwahayablog
Member
- Apr 11, 2015
- 8
- 0
Nafasi Ya kazi Bloggers
Mtandao wa Makubwa haya blog unapenda kuto fursa kwa Vijana wa 5 kwa Kazi ya ya kublogisha.
Makubwa haya Blog
Ni mtandao ambao unapatikana Tanzania, lakini unatoa Habari za Kitanzania kwa Lugha Ya Kingereza. umebase especially kwa habari za Burudani.
Job Description and Responsibility
-Muombaji ajue kuongea Kingereza na kukiandika kwa Ufasaha
-awe updated na Mfatiliaji sana Habari za Burudani Tanzania
-awe na atleat Laptop au Desktop Nyumbani
-awe na Atleast Certificate au awe amehitimu kidato cha sita
-awe ametokea jiji La Dar es salaam
Malipo
-kutakua na mda wa Probabtion ya miei mitatu waombaji wataanza kupewa Laki na nusu kwa mwezi, Kifushi cha mwezi bando ya Internet na utakuwa unafanyia kazi nyumbani
-Kwa siku uwe na uwezo wa kuandika Habari zisizo pungua 15 za Burudani kwa lugha Ya Kingereza
-Probation Ikiisha mshahara utapanda mpaki laki 3
Maombi
-Tuma maombi yako hapa Husseinrashid11@gmail.com
-Tuma CV TU Cheti Sitaki
-For more info contact me Husseinrashid11@gmail.com
Note; ingia Google Type Makubwa Haya, itakujia Link hiyo ndo website ambayo utakayokuwa unaiupdate